Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Na nimeshakuwahi sema lingine sasaNa mie nilitaka niseme hivyo, mapenzi hayana formula
Na nimeshakuwahi sema lingine sasaNa mie nilitaka niseme hivyo, mapenzi hayana formula
na wanaolewa piamabwana sio tatzo lkn sio wa kuwaoa
ya vikuku inanihusu na wala tigo sitoi tena navaa viwiliinakuhusu nn
Sio wanaume wote wanaotafsiri hivyo...uvae kimoja au viwili wapo wanaona ni urembo...na naamini asilimia nyingi ya wadada wanaovaa vikuku hawamaniishi hiyo maana unayoisema wewe...tusingeolewa basi kisa tunavaa vikukuHavikatazwi lakini hasa kuvaa mguu mmoja ndiposa huleta picha tofauti
Niliwai kuambiwa na mama mtu mzima aged 45-9 hivi kuwa hata yy huvaa lakn kwa mguu mmoja ni tafsiri tofauti kwa wanaume!!!
nakubaliana na ww kua wapo wanaovaa kama urembo bt jarbu kuwauliza hata baadhi ya rafiki zako wa kiume wanawachukuliaje wanapowaona kwa mara ya kwanza madem wanaovaa vikukuAsante kwa meseji nzuri, ila hayo mawazo potofu kuhusu vikuku yatoe mkuu, kuna wanaume wanapenda wanawake zao wavae hivyo kama urembo mwingine na sio kama maana unayoichukulia wewe.
Wa dar wengi wanataka wa namna hiyo mwisho wa siku wanashindwana mapemaadah umenichekesha aisee
huyo atakua anajitengenezea virus wa presha kisukar mwilin mwake
nilisikia kuwa ukivaa kikuku ni kwamba hautoshelezwi ni kwel?ya vikuku inanihusu na wala tigo sitoi tena navaa viwili
Hapana, kikuku n urembo kama urembo mwingine; mkufu /cheni,saa, bangili, hereni. Hauna maana nyunginenilisikia kuwa ukivaa kikuku ni kwamba hautoshelezwi ni kwel?
Kwa taarifa zako viruka njia ndio hawakosagi mabwana the same applied to men . World is not fair.
Wanaolewa hatari, hao hao unaowaponda.mabwana sio tatzo lkn sio wa kuwaoa
World is not fair.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Alafu mwanamke mtulivu anakuja olewa na kiruka njia na mwanaume hivyo hivyo. Haya mambo bwana hayanaga formular wakati mwingine.
Kuna wife materials nawafahamu hadi natamani ningekuwa me niwaoe, ila viruka njia hivyo vinaolewa just like that yaani daaah!!!
Kweli kabisa.na wanaolewa pia
Kwa wanaume wa Dar hivyo ulivyoandika vyote ni vigezo vya 'wife material'

Kwako wewe Dada unaetafuta mume... Kama una sifa hizo hapo juu polee wafwaaa




sikweli acheni tafiti zenu uchwaranilisikia kuwa ukivaa kikuku ni kwamba hautoshelezwi ni kwel?