Mkiniona Mimi mume ame cheat na nikajua kwa uyakini usio shaka na nikaendelea kuwa nae, njooni mnicharaze bakora....
hahahaaaa wee haya wee siku hiyo tusisikie tu jamani eeh kumwacha siwezi hata na iweje....
unamkumbuka yule aliletewa mke mwenza akajinyenyekeza hadi akahurumiwa....?:crazy:
Hahaha usinikumbushe hadithi ya yule mtu! Naogopa kabisa
I remember, I said I was sorry.
This is a good way of doing it. ngoja nizitoe. nazifungulia thread maalum kule chit chat
mtu akiachwa ujue amechokwa na c vingnevyoNi kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili
Ishi! mbona watu wanahaha kuongeza ukubwa wa maeneo wakati sio sababu ya kuachwa maana hapa haijatajwa..
jamani habariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
mbona hili inadawa,unacharaza na mwiko tu harudii tena na mnaendelea na maishaMwanaume mlevi kupindukia! yan hata kurudi home issue mpaka aletwe na wenzie. hiyo inaweza kusababisha cku nyingine wakamcamerron!
mtu akiachwa ujue amechokwa na c vingnevyo
serious russian. Kama ananicheat ila mambo yote yanaenda sawa ndani ya nyumba siwezi kumuacha.
hayo ya magonjwa ni matokeo na anaweza akapata au asipate vile vile.