LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
HEBU NITAJIE MMOJA MWENYE TABIA HIYO [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?
Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana mahusiano mnakuwa wakali na kuwaringia kwa maneno ya shombo. Ila mwishowe mnaanguka kwa waume za watu au players ile hali mnafahamu kabisa what is going on baadaye mnakuja kulizwa tu!
Amkeni nyie mtaishia kulia lia