Wadada nijibuni hapa

Wadada nijibuni hapa

Shida siku hizi wavulana mumekuwa wengi Sana, bora tubanane huko kwa Wanaume hata Kama wanamilikiwa.
 
mkuu sio kila kitu unachokisema nimesema wamefanya research, huu ni mtizamo wangu binafsi

Basi sawa, ndo maana mimi kichwa panzi ilibidi niulize, ila kama ni hivyo hakuna shida mkuu.
Uko sahihi kwa mtazamo wako.
 
huyo babu atakuoa? ila tuache utani aseee wanaotembea na sugar daddy wana roho ngumu mno kwakweli looh, maana unakakuta kabinti kadogo maskini angalia sasa huyo sugar daddy wake mpaka mtu unajiulizaz inawezekanaje!?
Shida siku hizi wavulana mumekuwa wengi Sana, bora tubanane huko kwa Wanaume hata Kama wanamilikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom