Wadada nijibuni hapa

Wadada nijibuni hapa

mwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Tafuta mume wako, acha kusifia waume za watu. Wa kwako pia anaweza kuwa wa mwenzako na akajiongeza
 
Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?

Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana mahusiano mnakuwa wakali na kuwaringia kwa maneno ya shombo. Ila mwishowe mnaanguka kwa waume za watu au players ile hali mnafahamu kabisa what is going on baadaye mnakuja kulizwa tu!

Amkeni nyie mtaishia kulia lia

Nyege tuu zinawazingua
 
mwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Ila kuna wanaume wa watu wagumu ka nyama ya mshipa
 
Hii week yakwenda kwa usalama kwa wanawake maana mmewaandama sana
 
wameumbwa kushindana wenyewe..kwa wenywe.akichukua mume wa mtu anajihisi mzuri kupita mkewe ndo mana jamaa kaacha mke kamfuata yeye.....akisikia ww player anatAk akuchukue wewe ili wanawake wengne wasikupate yeye ndo awe mshindi....ukiwa single anaona huna mvuto hivyo wanawake wengine watamuona yupo chini....akivaa km jini kope,matako,ngozi ,kucha bandia ni kwasababu anataka yeye ndo aangaliwe sn na wanaume kupita wengine......yaan akili zao ni kushindana shindana tu kwa ujinga akipewa story na shoga zake jnsi wanavyopelekesha waume zao na yeye anakuja kukupelekesha wewe zaid ili uki respond akawahadithie shoga zake kwa yeye ndo kiboko zaid...shoga ake akinunua gauni jipya bas ugomvi analeta nyumban ili apate gauni bora zaid,kifupi ukipata mwanamke si mshindani bas una Bonge la bahati....
 
Kaka hapo haujauliza swali bali umelalamika!!!
 
Ila wanaume za watu wanajiongeza, sasa hivi vi bf vinaishia show off na ni umiza kichwa kabisa
Ukiona mme wa mtu anajiongeza sana kwako jua kule kwa mke wake na watoto ni haachi kitu.
1+1=2 na sio 11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom