Wadada nijibuni hapa

Wadada nijibuni hapa

ha ha ha ha unaona sasa kumbe amezoea vya wiz kapewa ruhusa anakimbia
Hakuna vya wizi, vya wizi haviwezi kuwa vitamu kiasi hiki.
Mtoto anipikia chai iloungwa, anibembeleza, mtoto kiuno nyigu dondola.
 
mwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Kama ndo hivyo watawanduaeni sana mwisho wa siku mwenzio kaoa na atarudi kwa mkewe wewe utakuwa side chick wa kukubandua tu
 
Bachela nyie ni wabaili sana ndo maana, hamjui kutunza hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom