Instagram ishakuwa Soft Porn. Tusitegemee adabu na staha uko mbeleni

Instagram ishakuwa Soft Porn. Tusitegemee adabu na staha uko mbeleni

Joined
Dec 13, 2022
Posts
11
Reaction score
43
Kijana (mvulana na msichana) wa miaka 15, 16, 17 au 18 ambaye ndio mara yake ya kwanza kushika simu kitu cha kwanza atahitaji ni kujiunga instagram na facebook.

Hii inamaanisha vitu ambavyo unavyoona wewe 25+ yrs old ndio vile vile ambavyo binti au mvulana huyu under 18 anaona.

Na siku hizi hata kama umeingia inst kwa ajili ya mishe nyingine hakuna kingine kitakuja kwenye reels zaidi ya picha tofauti za wadada wenye makalio makubwa wameiinama au wakiwa na vinguo vifupi na vya kubana miili yao.

Na usiseme kuwa inatokana na your search history, mimi nilijiunga inst kwa ajili ya kufanya manunuzi na sikuwahi kusearch kuhusu mabinti, ubongo flava/movie au utupu wowote. Lakini kwenye reels walikuwa wakiniletea hawa wadada nusu uchi.

As instagram inakuwa regarded as a top content site, vijana hawa wadogo wanakuwa triggered kwenye mindset zao kuwa in order kuwa a top human being inabidi niwe kama hawa wadada nao waona instagram. Na unakuta hawa wadada wanapiga hizi picha wakiwa katika sehemu zinaoonesha kuwa ni expensive na highlife kana kwamba matawi ya juu ndio unavyopaswa kuwa.

Kinacho fuatia sasa ni kukutana na kizazi kikubwa cha vibinti na vivulana amabavyo havifikirii the other side of life. The struggle, The discipline na The hardwork kwa maana mindset ziko heavily connected na kuwa slick na slay. Potential nyingi za kuleta mabadiriko chanya zinakuwa destroyed for the sake of being slick or slay.

Kids are no longer patient, respective and discplined.

China wajanja sana, tiktok content yao nchini mwao imejaa educational na creatiivity material ila kwa nchi nyingine contents zimejaa insanity, soft porn na hate speech.

Kiukweli ni vigumu kuelewa watoto katika maadili kwa kizazi hichi na kinatokuja mbeleni kwa maana wako easily exposed na uhuni.

Screenshot_20230118-111046.jpg
 
Instagram,tiktok,twitter,ni ushuzi tupu huko,tena twitter ina porn kabisa za kutosha tu ,haina tofauti na site za ngono.
Mimi ni mwaka wa nne huu situmii instagram,kidogo natumia face book ,angalau face book haina mambo ya ajabu sana kama instagram na twitter.

Supati picha miaka inavyozid kusonga hali itakavyo kua [emoji26]
 
Instagram,tiktok,twitter,ni ushuzi tupu huko,tena twitter ina porn kabisa za kutosha tu ,haina tofauti na site za ngono.
Mimi ni mwaka wa nne huu situmii instagram,kidogo natumia face book ,angalau face book haina mambo ya ajabu sana kama instagram na twitter.

Supati picha miaka inavyozid kusonga hali itakavyo kua [emoji26]
Hongera ndugu.

Kwa kweli sijui kizazi kitakuwaje mbeleni.
 
Back
Top Bottom