Wadada nchukieni ila ukweli ni .....

Si kweli...Wachaga hawajui 'kutongoza', hivyo wanawekeza kwenye kuhonga ili kupata 'watoto' wakali!
 
wasukuma ndio wengi tz,following the scarcity of land and disire to accumulate capital chagga has spread mpaka ukerewe, ni mabingwa wa kuigiza ili uwahurumie wanapokuwa wageni na wako tayari kufanya kazi ni kazi hata kulea bibi kizee kwa matajiri ILA AKISHAYAJUA MAZINGIRA ataki tena kuajiriwa ataanza kuuza sigara za pakti mara gafla mduka mara miduka tajiri kama sio WEZI NI NINI?

Akili nywele dear..
 
SORRY MR.CLINICAL OFFICER......................badala ya kupiga kazi nawe wakazana na kupiga unafki na kina dada?
 
Hivi huyu mwanaume kweli?.......how come you call yourself a clinical officer na tabia hiyo?..... Utakuwa nursing attendant wa le wa standard seven,,,,,,,,
 
Hivi huyu mwanaume kweli?.......how come you call yourself a clinical officer na tabia hiyo?..... Utakuwa nursing attendant wa le wa standard seven,,,,,,,,

kizazi cha dot.com .lol
muulize babu DC
 
Back
Top Bottom