Wadada nchukieni ila ukweli ni .....

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
 
sasa uchukie kwa lip?
dah umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ....sasa theme yako apo ni WACHAGA WAMEWACHANJA AO MASHOST ZAKO WOTE AU UNATAKA UTUAMBIEJE LABDA CZ MI SJAELEWA UNATAKA KUSEMAJE?I WANT TO SMELL UKABILA BT I REFUSE ..i wanna try udhalilishaji bt i failed n nw i conclude its LOW....N NW M MOVING:car::car:
 
Wachagga hawajui majamboz.
Kwa hiyo wamewekeza kwenye kuhonga na wala si kazi za kitandani
 
Hao wadada wana majibu sahihi,waulize then tuambie,hiyo itatusaidia..........
 
Wachagga hawajui majamboz.
Kwa hiyo wamewekeza kwenye kuhonga na wala si kazi za kitandani

teh teh jaman stak mieeeeeeeeeeeeeeeee...ennhh
hawwajui majamboo..ahaaa jaman awa watu....wwanajua nini sasa?
kwenye kuhonga nakataaa WABAHILI SANA TU,...
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
Focus kwenye biashara usijefunga ki-pharmacy chako, mapenzi/umbeaumbea na biashara ni sawa na maji na mafuta!
 
yani mi wakat unatirirka na hii mada nikajua hitimisho lake ungefuka zaid na hao wadada,kumbe unawadis majamaa ya kijaga.we jamaa bana. aah saaaaaf.
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
DUH!!SORRY KAMAA NTAKUKWAZAA..ilaa ukisiaa wanaume zobaa na wewee umo.yani wee baada ufanye kazi zako unaaza kupiga story na wake za watu..ooh sijuii niniii?hivi huna issue nyinginee za maendeleo za kuongea bilaaa kuongelea ngono na wake za watu.:doh:
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?

Mnaonaje tukipunguza THREAD ZA KUKANDIA AKINA DADA??? Hata kama ni kweli, tupunguze basi tusiwafanye wapate hasira na majibu ya jazba! Tuzungumzie Mahusiano, Mapenzi bila kukandamiza upande wowote
 
sasa mkuu umekuwa mmbea na wewe umechukua wa mama wangapi
maana ulipo inaonyesha ni mtego.
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?

Maswahiba na washikaji zako wa kupiga umbea sio.
Yani kwanza unaanza je?

Mmmm mwanaume mmbeyaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Hadi wakuambie habari mbaya za waume zao, wanataka nini labda?
Na wee hujiulizi? Akuambia mme wake hajui kwamba wewe ndo unajua au?

Naomba nisikutane na mwanaume mwenye umbea kama huu.
Umbea wa wanaume ni huu.

Jinsi ya kupata nyumba au kiwanja.
Jinsi ya kumnunulia waifu gari.
JInsi ya kufungua biashara kubwa yenye ushindani sio kifamasi cha kupigia umbea...

Umesikia ee, uache umbea wa kijinga.
 
Back
Top Bottom