We kweli ulidhamiria...hatua zote hizo nadhani ulikuwa kikazi zaidi.nilicheki namba yake imesajiliwa jina gani si wajua tigo bwerereee, kisha nikazamia kumsaka facebook aah kinalipa kidume nikaweka meeting na kumaliza shughuli. Sikurembesha kwa kweli wala sifichi. 😛eace:
Mmmmhhhhhhh....ndo nini?
Si useme...
Wewe huwa haujikoseshagi namba makusudi wewe?
Najaribu kuangalia kama mwanaume anaweza kuanza kutafuta msichana au jimama' kwa mtindo huo...
Kwangu mimi naona dunia ni pana mno kiasi kwamba ukianza mchezo huo unaweza ukakata mwezi unakutana na wababa wenzio na wabibi.
Unless kama nitampoint mrembo mahala, halafu niitafute namba yake kabisa ndipo nianze machezo ya kujikosesha namba yake kwa makusudi(wakati I know warram doin')
Wanawake, uwongo mbaya mna roho ngumu sana na mkiwezeshwa ndo basi tena...
MwanajamiiOne
King'asti
Preta
Smile
Blaki Womani
KOKUTONA
Passion Lady
Lady doctor
Semeni mshawahi kijikosesha namba?...mara ngapi na je ililipa?
Daaa dhambi ya kungonoka mbaya sana aisee, but its so much grateful and even joyful to operate a very risky, tough and challenging life style!Biblia inasema katika ZABURI 51:5,Tazama mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba hatiani
Unajua hata kuna wanaume wengine wanakikosesha na vinganganizi hatari mtu unamwambia wrong number
Hao ving'ang'anizi dawa yao ni ndogo. . . . . .experience is the best teacher, strugle for it!Unajua hata kuna wanaume wengine wanakikosesha na vinganganizi hatari mtu unamwambia wrong number
Hao ving'ang'anizi dawa yao ni ndogo. . . . . .experience plus exposure is the best teacher, struggle for it!Unajua hata kuna wanaume wengine wanakikosesha na vinganganizi hatari mtu unamwambia wrong number
We kweli ulidhamiria...hatua zote hizo nadhani ulikuwa kikazi zaidi.
Vp baada ya hapo mahusiano yanaendeleaje?
Usikute wengine wanapata wa kuoa kwa njia hiyo.
Lakinibiujue kufahamiana huwa kunakuja kwa namna nyingi tu...tusisubiri mtu aje very formal nyumbani kwa wazazi wako na kukuomba urafiki.hahaha hiyo ni kweli brother tena wapo na wanaume wanajidai kukosea halafu wanaanza kuuliza maswali ya kitoto wewe nani..upo wapi...unafanya nini...umeolewa...n.k sasa jamanii kama umekosea namba maswali ya nn? hasq sisi tunaoweka namba za simu kwenye mabango ya.biashara ndo balaa hadi simu za kitapeli..tuache tabia hizi jaman tufanye kazi..