Yani njaa ni shida ndugu yanguHivi kwani kila Mme wa mtu anahela,,,,au ndo kale kamsemo "behind the success man there is strong woman" ,,,cha maana watafute pesa zao tuu wapunguze kukinga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa na boyfriend wako akakuchosha kuliko huyo mume wa mtuH
Namaanisha kuchoka yani mpaka unakosa mvuto sababu ya kugegedwa siku zote na waume za watu kwanza mimi nitoke na mme wa mtu kwa shida gani hasa hiyo
OkayMme
Waume za watu sii dili tupambane na hali bhana
Habari wapendwa. Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa wapate pesa za kujikimu kimaisha kwa upande wangu mimi naona tunakosea sana hiyo tabia na kwanza utachelewa sana maisha kwa kupenda vya dezo mwisho wa siku vitakutokea puani wewe msichana mdogo umeng'ang'ana na mizee isiyojiheshimu kisa anakupa hela na bora hata iwe hela sasa 50000 huoni kama ni dharau? Yani kakuona jalala la kumwagia taka mwili zake puu!! Kwanini wadada tusijikite katika kutafuta maisha? Mme wa mtu akikutongoza ujue kakuona wewe ni dastibini zile za barabarani ambazo kila mtu anatupia uchafu maana hakuna malengo yoyote kawashwa huko kaona aje kwako ni bora utulie upate wako asiye na mke ukipenda vya dezo utatumika hadi utakuwa unatembea upande upande tuacheni jamani