Wadada na wamama mnahitaji hand bags ngapi

Wadada na wamama mnahitaji hand bags ngapi

Ulinunua nyeusi ya ngozi ulisoma inaedana na nguo nyingi. Hizi umenunuabya brown, leo hii umeona nyeupe umeapa lazima uipate. Bado ile ya chui chuo ulimuona nayo shost akakwambia alinunua Dubai, umemwomba akienda tena akuletee na wewe kama ile.

Kabati la nguo limejaa hand bags wala humfikirii mume wako kuwa pia analihitaji. Nyumba yenyewe mnayoishi ni chumba na sebule.

Unataka kuwa na handbags ngapi ili ufahamu kuwa zinatosha?

Mie napenda saana handbags na heels so ninapoipenda huwa nachukua ..... ndo ugonjwa wangu huo sina haja ya kujihesabia !!!! Zipo za kazin na zipo za outing
 
Wanafanya collection, wengine manunuzi ndiyo yanakuwa mazuri kuliko matumiziya handbag.

Mimi Bi Zuhra mara nyingine tunaenda sehemu anakuwa hana hata makubwa mtoto wa watu, mimi ndiye naanza kiherehere, "umeliona hili la Italian leather la dessigner nani sijui? hili si common".

Akipenda anachukua.

Juzi nimemuonesha Michael Kors namuangaliakama atapenda nimchukulie,kakataa kwa sababu hayana nini nini sijui (she is so picky).

Nikasema poa.

Kwa hiyo wengine tunawanunulia sisi na kuwasakizia kwa kufurahia, lakini si wote.
Nilikuwa ninahama mr amehesabu handbags ameapa hatanunua. Kilichomtia hasira ni kuwa mengine yapo kabatini bado na label hayajatumiwa
 
Nilikuwa ninahama mr amehesabu handbags ameapa hatanunua. Kilichomtia hasira ni kuwa mengine yapo kabatini bado na label hayajatumiwa
Yaliyo kabatini na label mazuri sana hayo, siku unapata safari ya ghafla kwa wazee unawapelekea mashosti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom