Wadada na wamama mnahitaji hand bags ngapi

Ha ha ha yaan ww ni mwenzangu kabisa
upload_2018-1-24_19-45-24.png
HEBU ANgalia kakiatu kalivyo kasimple hvyo !lol
 
Mwanaamkee anatakiwa kuwa na handbagsa za.

1. Primary colors.

2. Favorite color.

3. Size kubwa, ndogo ma ya kati.

4. Nyeusi.

5. Itayoendana na ngozi yake.

6. Itayo kinzana na ngozi yake.

7. Ya ulimbwende tu ambayo haiko practical.

8. Iliyo practical ambayo haina ulimbwende.

9. Ya ulimbwende iliyo practical.

10. Ya kuweka vitu vya watoto kwa kinamama.

11. Ya laptop.

12. Yenye kufungwa juu.

13. Isiyo kufungwa juu.

14. Ya rangi za kike kama peach, beige, pink.

15. Iliyopigika pigika ya kwendea sehemu ku bargain bei watu wasikujue una hela.

Siyo lazima ziwe nyingi lakini sifa hizi muhimu.

Kuna sifa nyingine 15 lakini muda wangu umeisha kwa sasa.
 
walah materials\ husband ndo weye ! napenda na kuvutika na mwanaume anayejua saikolojia na fashions za wanawake aisee ! kuna wanaume had wanajua nguo za ndan nzuri za kumnunulia mpenzi /mke wake ! yaan had raha !hanunui machupi ya buku buku akuu ! anakuletea pure cotton !
kudos to them
 
Hahaha.Enzi za ujana zaidi kuna bidada nilikuwa naye kipindi fulani, alikuwa msongo msongo mtu wa kitabu sana hana time na fashion kwa sana, alikuwa anapiga Ph.D yake.

Handbag ikawa kama mgogoro tukitoka kila siku hiyo hiyo, mtu mzima nikamchukulia mbili, moja nyeusi, moja nyekundu.

Calvin Klein, quality material.

Alifurahi sana akawa anabadilisha badilisha.
 
hahaha mwanaume anajua had brands ! uwii msukuma wangu yule uwiiii! hehhehhe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom