Wadada na nguo fupi!!!

Usituzinguo, umeona picha za mabibi wa zamani wewe?umeena nguo wanazovaa?au unaongelea utamaduni wa mwarabu/kama ni utamaduni wa mwarabu takuelewa.
 
Kuna utamaduni wa Kitanzania? hebu acha maua yapendeze....wenye miguu yao na wavae vimini nafsi zetu zipate faraja...wenye toothpick zao kuna yapo magauni na suruali kwa ajili yao....
 
Acha wavae hata vichupi mkuu..ila wewe mtafute wako anayevaa stara. Full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…