Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani
Humu ndio tunapotoa tunawauzia Huko na nyie mnanunua .kabla hamjanunua Kwangu au mtu
Mwingine hizi ndio websites based on Los Angeles ,NY na TX. www.alltimetrading.com,www.apparalelshowroom.com,www.clothingshowroom.com,www.offpricefashion.com,.Karibini compare the price .Msikonde