TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani
Mkeo anapiga kazi hiyo?
Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani
Hapana mkuu mdogo wa kike anataka kufanya hiyo biashara mumewe hataki natakiwa kutoa UshauriMkeo anapiga kazi hiyo?
Mmh, kushuhudia hili lazima uwe karibu kweli kweli...