Wadada na biashara ya nguo China

Wadada na biashara ya nguo China

Rukwa21

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
142
Reaction score
42
Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani
 
hazitofautiani sana na zile za wadada waliokuwa wananunua mashati ya juliana kutoka uganda na kuyaingiza kagera.
 
Hata kama watakukubali ujue bei ya kulala Doha tu ni aghali kabla hajabadili Ndege kuingia Ghuanzong
hutaweza mlipia usafiri wa mizigo kwenye container
msubiri tu Dar kama huna Doller au Gold
 
Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani

Mkuu ina maana imefikia mahali tunawa grade watu kulingana na shughuli zao za kibiashara?
 
lengo hapa ni kuwachafua lakini kuwarundika wote kwenye kapu moja utakuwa hujawatendea haki. Wako vibaka na wengineo ni wachuuzi wazuri tu siyo wa miili yao ila biashara zao ingawaje ni wachache walakini ni kuwa wengi wao wanachuuza miili yao.........kama kichocheo cha biashara zao!
 
Mkuu ina maana imefikia mahali tunawa grade watu kulingana na shughuli zao za kibiashara?
. Hapana mkuu ninahitaji kutoa ushauri wa mdogo wangu wa kike anataka kufanya hiyo biashara mumuwe hataki kabisa
 
hazitofautiani sana na zile za wadada waliokuwa wananunua mashati ya juliana kutoka uganda na kuyaingiza kagera.
Nayakumbuka mashati ya Juliana nifafanulie mkuu tafadhali
 
Wengine huwa hawana biashara moja kwan wapo wanao kwenda kujiuza kwanza,Nguo ni kigezo.Na kwa kuongezea.Hawa wasanii wa kike ndo maficho yao ya ukahaba,naushaidi ninao kwa majina.
 
. Hapana mkuu ninahitaji kutoa ushauri wa mdogo wangu wa kike anataka kufanya hiyo biashara mumuwe hataki kabisa

Ooh! Hawana tatizo lolote wanawake wafanyao biashara zao China na Tanzania.
Nimeishi China na zaidi ya yote nimekuwa nikienda mara kwa mara miji ya Guangzhou na HongKong ambapo ndio masoko makubwa ya nguo hupatikana.
Wengi wanaouza miili yao huwa hawafanyi biashara zaidi ya kutumia mwamvuli wa biashara kuficha uovu wao na kurahisisha upatikanaji wa visa.
 
Kama kichwa yake haijitambui makataze, bora awe hapo hai kuliko kuuza roho yake.

Ila kama anajitambua mruhusu afanye.

Back
Top Bottom