ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Mtu umepewa offer na Jamaa unakomoa kama huyu nooma Kweli!!!
http://www.youtube.com/watch?v=84cEoQxUHmU
http://www.youtube.com/watch?v=84cEoQxUHmU
Humu ukituwekea You Tube, wengine twatumia mchina.
Dah pole nashindwa nikusaidiaje Madame B maelezo mazuri yanajionyesha kwenye clip hiyo...
ningekupa like tatizo haka kamchina
ningekupa like tatizo haka kamchina
jitume tu utapata sony xperia z
Mtu nakunywa safari tsh 2000 nakuona uko na maji tuu namtuma mhudumu akuulize unakunywa kinywaji gani nikupe offer wewe unaamua kukomoa kwa kuagiza ma grand wine chupa kadhaa tena za gharama na unauliza na jikoni kilo mbili kitzzzzzzz hiyo nooma wadada loh
ndo pesa ngapi hiyo?
Used laki 8, mpya 1.2M
Duh...chukua like yako
Sasa ndo uagize wine aina sita tofauti huo sasa ulevi au kukomoa tena na kitzzzzzzz kilo 2???? Dah hapo umenitisha Madame B
Sasa wewe sikiliza hiyo clip utaona kidume kikilipia bill hiyo lazima atafute namna ya kufidia bill sidhani kama kuna zaidi ya kumgegeda mtu kwa adabu..
jana like zilipotea ghafla nikajua zitakuja hate lakini naona bado zipo like tuNipe hata hapa jukwaani.
jana like zilipotea ghafla nikajua zitakuja hate lakini naona bado zipo like tu