Naomba tumeetHaaaaaaaah wanaume kazi mnayo
Mtu anasema "hizi picha zenu" halafu haweki hata picha ya kuchora!! Watu wengine mnakera nyie...!!Story bila picha sawa na ubuyu bila rangi
Wakisikaga story hawaamin hadi wayakute[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkomage
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
Na nategemea hapo kwenye avatar utakuwa hivyohivyo
Mbona kama hii miguu naifahamu?!...
unataka ya kukute na wwMkuu huyo kwenye avatar ni wewe mwenyew au?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Morning Shunie[emoji23][emoji23][emoji23]
Mornie mshipaMorning Shunie
Kweli mkuu siku zote hizo unaongea nae hukujua kabisa kwamba hana meno ya mbele? Maana mtu asiyekuwa na meno akiongea tu utajua. Pole sana ila mh nahisi kama hili la meno ya mbele umetupiga Kamba.niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
Hahahaha shaur yako usije zima simu tuNa nategemea hapo kwenye avatar utakuwa hivyohivyo
naahidi sitazima simu am serious on thatHahahaha shaur yako usije zima simu tu
Weeeee uje unianzishe Uzi oooh nimemkuta ana sura kama ya baba Ubayanaahidi sitazima simu am serious on that