Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,958
Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana
Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri umewatupa mkono tuacheni na sisi tule bata kama nyie.
Kututegesha tuwape mimba ndio zenu mimba sio kigezo cha kuolewa mtuache tule ujana kwanza