Mara nyingi napokua nacheza mziki hasa na dem wakati anapokata mauno mbele yangu(grinding) huwa nasimamisha wazungu wanaita getting a boner. Je ni vibaya or ni udhaifu? je wadada mnachukuliaje unapogundua unaecheza nae kasimamisha?
Vp km home kuna kasherehe furani hivi, na kamziki ka ukweli kanagongwa hapo, family nzima, ndugu, jamaa na marafiki wanaruka majoka, halafu kwa bahati..........dadako ndo yuko mbele yako anakatika vipi inakutokea pia hiyo hari?