Kwani ni lazima kumpa kila mtu, Mungu anatuagiza katika vitabu vyake kusubiri hadi kupata mwenzi wa maisha. na ninyi mianaume kwa nini usote kubembeleza si unachukua wako ambaye unabanjua wakati wowote bila kusotea tena kwa raha zako wala bila gharama za ziada. acha mkome huyo mdada bigup sana