Wadada mna nini na magari?

Kwa hiyo wakaka kwao ndo wana hela?
 
Haya baba mwenye gari, usiwe unaazima gari bwana tutakukimbiaa
 
Naona watu wanakuja PM jaman musije kunipeleka TRA waje kunipekua kujua income Yangu hyo Lambhorgini sio yangu me nimenogesha Thread aiseee bado cjafika huko ndo kwanza npo na Mark X
Hiyo ulonogeshea thread sasa ndio gari, mengi hapa mjini ni usafiri tu.
 
mwanamke ni kiumbe wa ajabu.Mwanamke anatamani kitu ambacho kuwa nacho na kama akipata hicho kitu bado atatamani kingine ambacho pia hawezi kupata.mwanaume usikubari kubadlika(kuwa fake coz of chicks)
 
Yani huyo mtu mzuri sana, wabongo mmezoea unafiki kitu ambacho sio kizuri hata kdg. Huyo anataka gari lako na amekua wazi, shida i wapi mpk uje kuuliza huku?
Ni kutaka kujua zaidi tuu mkuu kama kweli kua na gari kunaongeza point ya kukubaliwa na wanawake au ni ulimbukeni wangu na gari langu.
 
Kwa hiyo wakaka kwao ndo wana hela?
Wamezungumziwa wanawake, laiti wangezungumzia wanaume tungeshusha mistari kuwahusu, maana hao ni kaka zetu tutokako ndiko watokako iwe ktk familia masikini au tajiri.
 
huku kijijini kwetu mwanaume ukiwa na Punda wanawake ndo wanakupenda
 
Mkuu barikiwa kwa ushauri mzuri
 
NILIKUWA NASUBIRI COMMENTS ZA NIMPENDE NANI NA EVELYN.....HAPO JBU KWA KWEL UTANYAMAZA TU....HUYO DADA NASHINDWA KUMDEFINE HATA HASIRA YA KUMOMOA KUMGEGEDA AF UMUACHE NAYO INATOWEKA TU...MAANA UBONGO UMEKUWA FINYU VIBAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…