Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,497 Feb 12, 2014 #61 Heaven on Earth said: Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi Click to expand... shida na matatizo yamewajaa! mambo yao yangekuwa safi wasingelialia.!!! mie naona strategy yetu ya kuwakimbiza kwa vibomu imefaulu. wanatoka nduki wenyewe mpaka wanataka kujikwaa.
Heaven on Earth said: Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi Click to expand... shida na matatizo yamewajaa! mambo yao yangekuwa safi wasingelialia.!!! mie naona strategy yetu ya kuwakimbiza kwa vibomu imefaulu. wanatoka nduki wenyewe mpaka wanataka kujikwaa.