Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
835
1,000
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Huko Facebook ndio usiseme. NimeshawaUnfriend na Kublock wadada 4 ndani ya wiki 1. Yani anakuomba urafiki, ukimkubali tu anaanza kukusalimia mara kwa mara kijenga mazoea. Hujakaa sawa mara .....dear niongezee 10,000 nina shida nayo!! XPfuuuu....wana tamaa hawa! Sijui wanafikiri tunaziokota? Yan tunaonana kwa maandishi tu na wala sijawaahi hata kukuona kwa macho nikutumie hela kijinga tu, nimelogwa??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom