Wadada kwanini mnazifunga PM? Wengine mnazuia kabisa profile nzima

Wadada kwanini mnazifunga PM? Wengine mnazuia kabisa profile nzima

Dah Ni Sawa Na UnaInstall Application UnKutana Na "Error 1713"
 
Unajua demu sio.mkali kivile sasa akifuatwa pm na sura,zote ngumu na badoo hawajitambui sio fresh kwake anakata tamaa
 
Back
Top Bottom