Wadada kwanini mnazifunga PM? Wengine mnazuia kabisa profile nzima

Wadada kwanini mnazifunga PM? Wengine mnazuia kabisa profile nzima

Embu nielekezeni cielew nimearibu wapi before nilikuwa naona mtu akiqoate au like comment zangu but sioni siku izi
 
Marahabaaaa auntie, kwanini mnafungia watu pm lakini!!
Auntie kupanga ni kuchagua ujue ukiona mtu anafanya hivyo ana sababu zake zilizomfanya mpaka kufikia maamuzi ya kufunga pm
 
Back
Top Bottom