kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Mimi PM nachat na jirani yangu NAHUJA bhasi
Niliposema carba una kazi sana ulidhani natania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waje hapa maana mitongozo inafail sana kwa kweli
Katika ubora wako
Wambie mkuu mie mwenyewe kilisha nikumba daJiangalieni..
Wakati mwingine unakuta kamwandiko kamekufurahisha.. Unaenda mcheki unakuta...
"this member limits the view of profile..
Kuna watu wanapoteza mengi hapaaa
.
Wewe ukichukulia ni kutokujiamini, mwenzio ana sababu yake pia.Kutokujiamini tu...
Regardless tuko anonymous...yet hujiamini.
Hamna sababu yeyote..
VizurNi muhanga ila nimeamua kutojipa tabu
yeah mkuuVizur
Kabisa hunter.Ni muhanga ila nimeamua kutojipa tabu
yap yapKabisa hunter.
carbamazepine hana wasiwasi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliposema carba una kazi sana ulidhani natania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikusahau ujue woiiii najiuliza kibibi gani huyuKatika ubora wako
Asantee auntieKila jambo hufanywa kwasababu maalumu.
Shikamoo jamanWewe ukichukulia ni kutokujiamini, mwenzio ana sababu yake pia.