Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Kila mwanamke anapenda kuolewa ndoa ni heshima pia inakufanya kuwa Na familia kuwa namji wako tatizo wanawake wengi tushaumizwa sanaaaa kiasi moyo imepata ganzi dunia hii hakuna mwanaume asie chepuka dunia yasasa wanaume wenyewe usipoangalia unaolewa Na shoga maana wanaume wetu utandawazi umewaharibu wengi wamekuwa hanisi,mashoga kiukweli Mungu anusuru taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoaji tupo ni vile tu our paths do not cross yet
 
Kweli umeumizwa Sana Dada, una mtoto wa kiume kweli...?
 
Labda wangeruhusiwa kuolewa na wanaume wanne hapo sawa! wakiwa nje ya ndoa wanamiliki wanaume zaidi ya 6 bila wasiwasi wewe
 
Kama ni ugali tu hata bila kuolewa tunautafuta na tunaupata mbona

RubiiKimimi[emoji85]
 
Kama hujaolewa huna uzoefu ndoa ni ya wawili,usisadiki kila neno la mtaani mengine yanatoka kwenye mifano mibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…