Wadada kwa nini siku hizi nyeupe

Wadada kwa nini siku hizi nyeupe

smile naijua ile chupi yake ya kaptura ya primari skuli kitambaa cha jinja
situmii kabisa hizo vitu,watu waliiga tu kwa wazungu. Hebu niambie kazi ya chupi?..wadada wengi wanaovaa chupi wana fangasi kishezi nawasikia wanavolalamika mimi huwa nawashauri wasivae chupi wakiacha siku mbili tatu wanarudi kushukuru ...chezea naked eyes wewe?full kupumua
 
Ha ha ha! Unacho kinenaa cha kweli.
 
Aiseeee!
situmii kabisa hizo vitu,watu waliiga tu kwa wazungu. Hebu niambie kazi ya chupi?..wadada wengi wanaovaa chupi wana fangasi kishezi nawasikia wanavolalamika mimi huwa nawashauri wasivae chupi wakiacha siku mbili tatu wanarudi kushukuru ...chezea naked eyes wewe?full kupumua
 
Wachafu hao usafi wao mpaka wanapokwenda kwa mabwana nyeupe wataiweza binafsi navaa rangi zote najipenda sana sina chupi malum ya mtoko maana zote ni safi zinapendeza zinanukia huo ni ushamba tu i like black pink red na zingine mda mwingine kijivu pia inadatisha.

mhm...my typ of colors....itabidi nikutafute
 
Me mwenyewe huwa nashangaa
Me binafsi napenda rangi karibu zote tena kumechi na bra
White tu nadhani ni boring

mhm...kwani siku hizi bra na chupi hazihuzwi kwa pamoja jamani??
 
Nyinyi wadada naomba kufahamu. Mimi nipo katika hili duka la kuuza bidhaa zenu kumfanyia shopping mwenzenu nidumishe penzi wazandaki wapate tabu kulitubua. Wamekuja wadada takriban kumi na moja hivi. Wamenunu chupi nyeupe. sasa kunani na chupi nyeupe. Mimi nilitegeme chupi nyekundu ndizo ishara ya mapenzi kama yalivyo maua mekundu. Nikamdodosa muuza duka why kwa nini. Akaniambia ndugu siku hizi karibu kila mdada ndio rangi anayeipenda. Embu wa dada, kulikoni ndio katalogi ama.
I am a man, but chupi nyeupe ni kwa ajili ya kuonesha usafi BHAAAAAAAAAAAAAAAS
 
situmii kabisa hizo vitu,watu waliiga tu kwa wazungu. Hebu niambie kazi ya chupi?..wadada wengi wanaovaa chupi wana fangasi kishezi nawasikia wanavolalamika mimi huwa nawashauri wasivae chupi wakiacha siku mbili tatu wanarudi kushukuru ...chezea naked eyes wewe?full kupumua
full kupumua wakati umevaa jeans....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom