wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

Kitu kidogo sana hicho, muelewe ili akuelewe sio kuchukia tu, afu bora umwambie mwenyewe kama amekukera acha woga. vitu vingine bhana hata sio vya kupost vinapoteza muda tu, title kuuubwa maelezo utumbo mtupu.
Usirudie tena!
 
yaani 250 ndio unalalamika mpaka huku matandaoni we kweli hufai hata kuoa sasa huyo mke utakayemua si watu watakuchapia maana inaonyesha wewe ni bahili wee mangi watu wanaonga gari na hapo bado hawajatongoza eboo.
 
si mambo ya ubahil bhana ispokua spendagi zarau ya mwanamke bhana kha? Bora men mwenzangu anzarau kuliko gal.
 
Back
Top Bottom