M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 411
habari zenu wana jf,kwamara nyingine napenda kushea jambo lingine na nyie kuhusu jambo lililo nikera nakuniuthi sana leo,ni dada mmoja wajirani na nyumbani kweli hua naeshimiana nae sana napia nataniana nae sana kama rafki yangu wakawaida leo aliniletea cm yake ili nimchajie baadae akaja kuichukua akaondoka alikaa uko kwao mda kidogo alirudi apa dukani akaniambia mbona cm yangu ilikua na mia5 saivi ina shing25? Nkamwambia misjui jekama umekatwa na mtandao ntajuaje? Apo alikataa mpaka nikakereka kiukweli sikuamisha salio lake Mungu shaidi ukizingatia mtoto mwenyewe ni mzur na nlikua nampango wakumtongoza,yani nlishangaa sana na mipango yangu ikafia apo apo kwajinsi nlivyochukia nlimpenda uyo dada lakini basi2 kisichosiziki akiliki.nani yamewahi kumkuta kama haya?
Ndio ushaharibu kudadadeki.,humpati tena..,by the way usisumbue kichwa sana, demu ambaye hana hata sehemu ya kuchajia simu hana nae anakusumbua?