wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

mangi mandara

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
64
Reaction score
2
habari zenu wana jf,kwamara nyingine napenda kushea jambo lingine na nyie kuhusu jambo lililo nikera nakuniuthi sana leo,ni dada mmoja wajirani na nyumbani kweli hua naeshimiana nae sana napia nataniana nae sana kama rafki yangu wakawaida leo aliniletea cm yake ili nimchajie baadae akaja kuichukua akaondoka alikaa uko kwao mda kidogo alirudi apa dukani akaniambia mbona cm yangu ilikua na mia5 saivi ina shing25? Nkamwambia misjui jekama umekatwa na mtandao ntajuaje? Apo alikataa mpaka nikakereka kiukweli sikuamisha salio lake Mungu shaidi ukizingatia mtoto mwenyewe ni mzur na nlikua nampango wakumtongoza,yani nlishangaa sana na mipango yangu ikafia apo apo kwajinsi nlivyochukia nlimpenda uyo dada lakini basi2 kisichosiziki akiliki.nani yamewahi kumkuta kama haya?
 
mimi yamenikuta aisee.. hivyohivyo
 
Kwa hiyo kila atakaye kuudhi utakuja kutuambia? hayo unayotuambia hapa hata yeye umemuambia au umemuogopa kwakuwa ni mzuri pia ulitaka kumtongoza,Halafu pia umesema huwa mnataniana labda alikuwa anakutania wewe umechukulia siriasi
 
we ulifikiri dada atakuambia nakupenda. lazima aje na kisa. sasa kaja na kisa we ukakodoa macho. we ulifikiri hata ukimtongoza hatakuomba hela. mia tano imekushinda je mizinga mingine ungeweza
 
ha ha ha ha ha mia tano!!!?? ndo unalalamikia mpaka hapa MMU? pole sana.
 
aise Saambovu nimekuelewa bhana ila atakama mtoto anataka kutongozwa kwanini aje na gia yakuibiwa vocha?aise imenikera ndugu yangu saambovu amjajua2 wanajukwaa jamani
 
aaah kumbe wewe ni muuza duka...ndio maana sredi zako nyingi utata mtupu!!!
 
watu8 acha umbea ata nkikwambia nafanya kazi flan hutaniamin kwaiyo kausha babu...!
 
sa si unataka tufanyaje........mbona wakati anakuachia sim umchajie hukutushirikisha
 
mdida we ndo ujui kabisa stori inaelezea nini ebu acha umbulula soma habari vizuri c kukonenti2 kikuda
 
mi sijaelewa angalizo ulilotoa kwenye heading na ulichoongea havihusiani
 
ha ha ha sasa kama ulikua una mfeel sindo kajileta au umetoka kijasho cha woga..
 
Back
Top Bottom