Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,463
- 21,189
Dongo limekupata....Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio mna hiyo shida yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Hahahaaa. Kama kuchangia ni kupatwa basi nakubali 100% nimepatwa mkuu.Dongo limekupata....
Hahahah....lako laini najuaHahahaaa. Kama kuchangia ni kupatwa basi nakubali 100% nimepatwa mkuu.
Hahahaa. Hukukosea mkuuu ni gumu halafu limekakamaa hatari.Hahahah....lako laini najua
We ni tofauti na alomwona jamaa. We ukitoka kuoga unapaka mwili wote so obvious litakuwa soft na tamu...hata kwa kupapasaHahahaa. Hukukosea mkuuu ni gumu halafu limekakamaa hatari.
Jaribu kuheshimu baba zako, huku shamba baada ya kujisaidia tunajisafisha kwa majani ya miti sasa ukipaka mafuta yakawa laini utachanwa sana.Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio mna hiyo shida yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Hahaaaa. Hivyo baba kudharauliwa ni vibaya ila ikiwa mama ni sawa. mmmhhh.Jaribu kuheshimu baba zako, huku shamba baada ya kujisaidia tunajisafisha kwa majani ya miti sasa ukipaka mafuta yakawa laini utachanwa sana.
Aneyaona kwa aliye lala naye hapo kitandaniSasa kama ulikuwa umelala hayo makalio umeyaona wapi kk