Wadada Inawahu... Kila mmoja ajiasses!

Wadada Inawahu... Kila mmoja ajiasses!

Nowadays hata ukiwa na girl rafiki tu wa kawaida, unapigwa mizinga, mabomu, risasi na mishale!!

Hilo limekuwa kama jambo lililohalalishwa katika dunia hii ya utandawazi!
 
tumekusikia kusikia jomba watalifanyia kazi sababu HAINIHUSU shem wako nsipompa invoice huwa hana hana imani kabisa kwa kujua kuna watu wanamsaidia.
Na hapa kuna invoice anatakiwa ado the needful at the end of this month 1.7m yaani hapa nafikiria invoice ijayo nikujumlishe at least uache lalamika lmao!!!
Tatizo mnavaa viatu size za wajomba zenu matokeo yake vinawapwaya kazi kamshahara kaduchu,matatizo kibao mwanamke unayemtaka mkali balaa nawe unakomaa ili uonekane unamtoto mzuri mjini matokeo yake ndo hayo nadhani ungekuwa na kaundime yasingekukuta haya yaote.
Poleni wanaume jamani mutafute size yenu musife kingereza kufa na tai shingoni.

Hiyo ndio wanawake wazuri hawaolewi.just sexy fashion.
"sio kila mwanamke ni mke"
 
Nowadays hata ukiwa na girl rafiki tu wa kawaida, unapigwa mizinga, mabomu, risasi na mishale!!

Hilo limekuwa kama jambo lililohalalishwa katika dunia hii ya utandawazi!

Mimi siku hizi natafuta mamazao hivi vitoto vya miaka 20 mpaka 35 shida tupu.tafuta mama miaka 45,50 hivi hao wametulia
 
Jumlisha hapo hiyo kwenda tu na baada ya hapo mjamaa hata kumtoa nauli tu hakuna khaaa acheni tu mshikwe mkwide tena ukiwakuta waliojichokea anakupiga kabisa hapa Tyta atansaidia kuweka picha.
no money no honey

woman-beats-hubby.jpg
 
Mimi siku hizi natafuta mamazao hivi vitoto vya miaka 20 mpaka 35 shida tupu.tafuta mama miaka 45,50 hivi hao wametulia

usiseme wametulia......!!

kuna force ilitumika hapo nyuma,

usione fisi kashindwa kutafuna fupa...!!
 
Hizo za mapedeshee zinakuaga tamu, ila mwisho wake sasa ndo mtafutano.

eeee sikujua kama pedeshee duuu kweli umaskini mkali sana Tza hata yeye pedeshee
 

hahahahaaaa!!!! wanaume wa kikurya ni noma all the time!

awe amesoma au hajasoma..!!

yani hata madada poa huwa wanawasweti vibaya!!... unaweza ukaliwa, ukapigika, then hata mia usipewe!!
 
eeee sikujua kama pedeshee duuu kweli umaskini mkali sana Tza hata yeye pedeshee

miss you omotola..!

yani nikiangalia hiyo avatar yako... hasa hapo kwa nyuma!!!.. mmmmhh!!!

hebu ngoja nikuzoom..!! zuuuuum!!

images


mmhhh!!!
 
Nadhani wakisoma huu uzi wataelewa.mi kuna mmoja nilimwambia ninahitaji kuzungumza nawe baada ya siku tatu kutoka leo,basi siku ya pili akaniambia nimuazime laki 2,sasa nikajiuliza kama nayaka papuch hii ndio bei yake? Nikipata papuch siwezi mdai pesa yangu,je akininyima? Itakua imekula kwangu? Hadi leo tukikutana ananiambia lini utanitafuta,namwambia usikonde mtu wangu.kumbe ndo imetoka hiyo.wanawake they are beautiful by far but,they are far from beautiful.

Huyo nae papara zilimzidi
 
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake
 
Avoid plagiarism mkuu, hii story iko kwa Sintah blog, acknowledge the source sio kusema 'blog flan' tu, asante

Sinta mwenyewe mwizi hua ha- acknowlegde Source za wengine...infact most Tanzanian Bloggers ni bingwa wa copy n paste. Ko mleta mada hajafanya kitu cha ajabu saana kwa context ya kibongo bongo.
 
amu nimekupata...........mapenzi bila pesa ni sawa na kuongea kingereza wakati balance 0.Ntarudi baadae kidogo
 
Last edited by a moderator:
mapenzi na njaa jamani ndo nini? mbona mnalia lia sana wanaume msikwepe majukumu lazima mtafute hela na heshima utapewa........ hivi mwanume unalalamikaje kumtunza mpenzio nz mizinga inakuja kwa sababu wasipoomba ampo willing kutoa kwa hiyari nakuacha miezi mitatu nikija kuomba nakutoa ndefu mpaka roho ikuume
 
jamani ujue kuna wanaume wengine kazi wanayoijua kuchomeka tu mtu anakaa lets say kinondoni mdada anakaa mbezi kimara tena makabe anatoka kwao mpaka stand mbezi kubwa na bodaboda 1500 au 2000 stand mbezi daladala za mwenge 500 kutoka pale mpaka huko 400.
Jumlisha hapo hiyo kwenda tu na baada ya hapo mjamaa hata kumtoa nauli tu hakuna khaaa acheni tu mshikwe mkwide tena ukiwakuta waliojichokea anakupiga kabisa hapa Tyta atansaidia kuweka picha.
Jamani mjue hata sie tuna service zetu kwa hiyo mjitahidi kutafuta hela hata kama mwanamke anahela na ana kazi nzuri asikuambie hela ya mwanaume tamu na unajisikia unapendwa na ukajaliwa we mpe tu hata ndogo mpe tena mpe usisubiri akuombe.
Na sie binadamu jamani tunaridhika.
Lakini ukiwa mkavu sana aaaa unaboa hata stimu inakata.
Kama anakuomba sana jiulize ulianzaje nae labda ulianza kwa mashauzi sana au ulimpatia kwa pesa.
Mwanaume mwenye hela ananoga jamani plus umkute kajaaliwa maumbo afu anajua shughuli yake ha ha humkinai jamani ngoja niwaamshe miss chagga Heaven on Earth lara 1 akitoka jela atakuja miss strong waje wansaidie labda mtaelewa darsa cc Paloma

amu wanaume ni watu waajabu sana mpenzi wake mwenye future akiomba hela wanlalamika ila wanaookota okota wanajua kweli kujitoa hata hawaombwi me nasema ukiwa na mpenzio mumeo make sure anakupa hela hata kama unafanya kazi....
 
Unampigia mbuzi zeze!!! Tafuta mwanamke wa kusuit your economy period! we wa elfu 10 unataka wa laki acha uzodolewe!
Dada zetu msikubali mwanaume mzembe eti ana mapenzi ya kweli, hayo mapenzi ya kweli bila ugali mezani yatakupeleka wapi?
 
Back
Top Bottom