Wadada Inawahu... Kila mmoja ajiasses!

Wadada Inawahu... Kila mmoja ajiasses!

Mkuu ni wewe uliyeandika hiyo mada nini! Mimi sikuona umuhimu wakutaja jina la blog sbb nilishasema from the beginning kuwaa mimi siyo author wa hiyo mada na kwamba nimeitoa kwenye blog nyingine kwani tatizo liko wapi? We unafikiri kwa mimi kutokutaja jina la blogu ya Sintah kunaathiri vipi watu kutoa mitazamo yao kwenye mada husika? I think you need to take things easy mkuu. Hapa JF hatupo kuandika articles au vitabu. Kikubwa ni kubadilishana mawazo na kuwa tayari kujifunza kupitia experinces za wengine. Ahsante!


Avoid plagiarism mkuu, hii story iko kwa Sintah blog, acknowledge the source sio kusema 'blog flan' tu, asante
 
mapenzi na njaa jamani ndo nini? mbona mnalia lia sana wanaume msikwepe majukumu lazima mtafute hela na heshima utapewa........ hivi mwanume unalalamikaje kumtunza mpenzio nz mizinga inakuja kwa sababu wasipoomba ampo willing kutoa kwa hiyari nakuacha miezi mitatu nikija kuomba nakutoa ndefu mpaka roho ikuume

Hun wazaZ?ndugu je,ndo maana sku hz mnatumika tuuu mshakuwa sawa na wale wamama wa ohio au bugurun sema nyinyi hamtegi kwa watu wengi
 
kwa mtakaoomba picha..!!

hii hapa!!

the river above the river!

1527797_592980604088306_185960739_n.jpg
 
Ujumbe umewafikia walengwa,pole zenu waume
 
Unampigia mbuzi zeze!!! Tafuta mwanamke wa kusuit your economy period! we wa elfu 10 unataka wa laki acha uzodolewe!
Dada zetu msikubali mwanaume mzembe eti ana mapenzi ya kweli, hayo mapenzi ya kweli bila ugali mezani yatakupeleka wapi?

asanteeee na mungu akubariki
 
Hun wazaZ?ndugu je,ndo maana sku hz mnatumika tuuu mshakuwa sawa na wale wamama wa ohio au bugurun sema nyinyi hamtegi kwa watu wengi

sema usemavyo yote tisa kumi nenda rudi tafuta hela rafiki itakupa heshima
 
tumekusikia kusikia jomba watalifanyia kazi sababu HAINIHUSU shem wako nsipompa invoice huwa hana hana imani kabisa kwa kujua kuna watu wanamsaidia.
Na hapa kuna invoice anatakiwa ado the needful at the end of this month 1.7m yaani hapa nafikiria invoice ijayo nikujumlishe at least uache lalamika lmao!!!
Tatizo mnavaa viatu size za wajomba zenu matokeo yake vinawapwaya kazi kamshahara kaduchu,matatizo kibao mwanamke unayemtaka mkali balaa nawe unakomaa ili uonekane unamtoto mzuri mjini matokeo yake ndo hayo nadhani ungekuwa na kaundime yasingekukuta haya yaote.
Poleni wanaume jamani mutafute size yenu musife kingereza kufa na tai shingoni.


Mwanamke mwenye akili finyu utamjua tu kwani hajifichi kwa sababu atataka kutetea ujinga na kuhuhalalisha ili mradi tu. Mtu kama huyu demu hata apewe laki moja kwa ajili ya matumizi ya siku nyumbani atakasirika au kujichambia na kumtupia mumewe kuwa hazitoshi, ila Bongo hii hii kuna wanawake wanaolisha familia zao kwa elfu 20 kwa siku tena chakula cha kifahari. Ttatizo lingine linakuja kwetu wanaume, utakuta mtu ana vijisenti anatafuta pashkuna/kunguru asiyefugika, kichwani hamna kitu kisha unampandisha cheo kuwa muhasibu wa nyumbani, hapa utavuna nini?
 
Amu,listen dadaa!matumizi yaendane na hali ya maisha,sasa akiwa mtoto mzuri ndo akukomoe? Maisha ndo hayahaya.akipenda high life as a result watu watagonga na kutimua tu,kimyakimya kama mziki wa jay mo.
Hivi kwa nini usimwelewe, anasema chukua saizi yako. Wapashu kaachie wauza unga. Tafuta yule unayeweza kumudu. Uzuri achana nao maana mkiwa chumbani ni giza hivyo uzuri hauonekani. Kuku hula sawa na kinywa chake. Kama huwezi kaa kama mimi.

CC amu-shukrani kwa mawazo yaliyokomaa ya kutuelimisha tunaotaka kuvaa viatu vya wakubwa wakati bado ni vigori.
 
Hivi kwa nini usimwelewe, anasema chukua saizi yako. Wapashu kaachie wauza unga. Tafuta yule unayeweza kumudu. Uzuri achana nao maana mkiwa chumbani ni giza hivyo uzuri hauonekani. Kuku hula sawa na kinywa chake. Kama huwezi kaa kama mimi.

CC amu-shukrani kwa mawazo yaliyokomaa ya kutuelimisha tunaotaka kuvaa viatu vya wakubwa wakati bado ni vigori.

Wewe bado lita ngapi?
 
Hii mada nimeitoa kwa blog nyingine siyo vibaya kushare na wadada wa JF ili kila mmoja ajitafakari!


.......kwanza nikupongeze kwa kuweka hii siku kuwa ya kubadilishana mawazo na kushauriana,japo mimi ni mwanaume,huwa napenda sana kupitia humu kuchekicheki mambo ambayo kiukweli yamenijenga,na kwa asilimia kubwa najua nini wanawake wanapenda na nini hawapendi toka kwa waume/wenza wao,big up kwako,Leo na mimi nimeona nilete mada yangu hii uiweke........
Mimi ni mwanaume wa miaka kadhaa,,Kilichonipelekea kuleta hii mada ni kwamba kila mwanamke ninayeamua kuwa nae,ananipa majukumu mengi,hata kabla sijamtamkia kwamba nimeamua kuwa nitamuoa,sikatai kwamba kumsaidia mpenzi wako ni jukumu ambalo haliepukiki lakini msaada unaotolewa usiwe ndo kigezo cha uwepo wa mapenzi yetu,kwa kipindi kirefu nimevumilia hili toka kwa wanawake kadhaa lakini sasa naona kama naelekea kushindwa,mimi binafsi najihisi kama nina mkosi vile,kwa heshima yako naomba waeleze wasichana/wanawake kwamba wakati mwingine sisi wanaume tunakuwa na nia kabisa ya kuanzisha uhusiano imara wenye uwezo wa kuzaa ndoa,

ila tunakimbizwa na "mizinga" yao ya kila siku.katika mapenzi kuna kusaidiana,ila naona kama wenzetu wanawake wameona msaada pekee wa kupewa ni pesa,au wao pekee ndo wanastahili msaada,Wanawake wengi huwa wanaharibu uhusiano bila kujua,hakuna asiyekubali kwamba kusaidiana katika mahusiano ni jambo jema linalokubalika,lakini sasa visizidi jamani,si kila siku mtu unakuwa na pesa ya kukupa,na pia ikumbukwe kwamba suala la kusaidiana katika mahusiano si la upande mmoja,sote twawajibika kusaidiana,wanawake wengi baada ya kuwa katika mahusiano huamini kupata mtatuzi wa shida zake zote.mwanaume mwenye nia ya kweli na wewe akianza kukuona unaanza kumgeuza kitega uchumi,taratibu huanza kuzua visingizio vya kutoonana na wewe mwishowe anaishia zake.

Kitu kingine ambacho wanawake hawajui,si kila tatizo unampelekea mpenzi wako,mengine peleka kwa ndugu zako,hivi kila siku mnapotuomba pesa mwafikiri twazitoa wapi?sio wote wauza sembe,wanawake wengine wana kipato zaidi ya wanaume lakini bado hata kile kidogo tukipatacho mwataka,jamani na sie wanaume hatupendwi kuumizwa pasipo sababu,wewe kama ni mpenzi wangu najua wajibu wangu kwamba wahitaji hiki na kile ,sie wanaume hatupendwi kuumizwa pasipo sababu,wewe kila kitu pesa,kwani mimi ndo nazitengeneza?hata kama unahisi ninazo nyingi,basi unadhani zote ni kwa ajili yako?hata mimi nina familia ya wazazi,wadogo zangu nk,nahitaji kuwahudumia,Tuhurumiane jamani,True love means give and take,twawapenda sana wake/wapenzi wetu lakini msitugeuze gari la mshahara,najua tabia hii si kwa wanawake wote,lakini asilimia kubwa ndo hao,naomba kupitia blog hii tujaribu kuwekana sawa,kwa wale ambao wana tabia hizi na mnawajua,waelezeni,mnatuumiza,na ndiyo maana hatuishi kusikia vituko vya kina kaka kuwaachia bili wanawake katika sehemu za starehe,kujifanya wanaenda msalani,kumbe anakimbia kukwepa aibu,kwa maana hela ya kulipa hana

Ukiona mwanaume mtu mzima analalama hivi ujue ametoka mbali na haya maisha ya kubangaiza. Mimi kila kukicha ukikutana na mwanaume show yake ya kwanza ni kukuonyesha wallet; if I may ask for what? Show nyingine atakwambia ana gari nitakupeleka kwako usiwe na wasi ukitaka usaifiri click i will be there; wenzenu tumejaliwa masiko ukishatoa go ahead ya hivyo ujue imekula kwako. Ninachotaka kusema ni hivi; wanaume kuweni wa kawaida sana mnapotaka hizi papuchi, sometimes huna sababu ya kujiwekea majukumu mengine be specific, nataka papuchi yako tuburudishane baada ya hapo tumemaliza, nachagua bega kama unalipa tunae na kama hulipi nakupa live ili usonge mbele uniondolee kiwingu.

Ngoja nikanywe soda kwanza mambo ya kulalamikia hela wakati kila mmoja anaweza tafuta zake inachosha.
 
cku hz wanawake wenye akili zao wachache kweli, ukibahatika kumpata mmoja mng'ang'anie... maana huko mtaani kumejaa makunguru yana njaa kwel kwel,, yako radhi kumvuli pichu hata baba yao mzaz ili kufaidi wallet yake!! laana, ndo maana tunapasiana tuu ila hatuyaoi!!
 
sijaangalia ila naajua unatakiwa kugusa tafuta kigusio basi jamani ofa yangu imefika mwisho
Unaanza kuniuzi, angalia kwanza ndipo utagundua kuwa kiguswa chako si muhimu kwa kuanzia ila baada ya hapo utapenda uwe namba mbili. Lita zipo 0.00000001 na ahadi lazima zifike 5. Kaaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom