Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Nikimpeleka demu mgahawa ni halafu akaniletea huu ufala mamaeeee [emoji51][emoji51] atalipa mwenyewe na litakalofuata tutajua kesho yake. Pumbavuu kabisa
 
Hahaha niwekee hapa picha ili niiangalie picha nikumbuke na maneno yenu!...First commentator kaua sana na comment yake
hahaaa 1st commentator kaua mnoo aiseeee
 
Wanakushukuru na kukuombea juu. Sema ni utoto tu. Kuna watu hawapendi kuonekana wanakula sana wakiwa na bf zao. Kumbe wangejua bf wenyewe hawataki huo ujinga
Hahahaha, halafu hapo anaagiza na penasol ,na maji ya Kilimanjaro
 
HII PICHA HAUJAIPIGA WEWE, HII PICHA ILIKUWEPO MTANDAO(TWITTER) LAST YEAR NA MTU ALIYE POST NAMFAHAMU VIZURI SEMA TUWALIZIE KUWAJADILI JUU YA HII TABIA
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Shikamoo...Nimeishia kucheka....
 
Mie kuna mmoja nilimbebesha chakula nkamwambia usiniletee utani nimekilipia kibebe utaenda kulia kwenu
 
Kosa la kwanza kafanya huyo Bi dada! Kosa la pili kafanya huyo basha ake! Kosa kubwa Umefanya wewe!
 
Mimi nakuambia sitaki ubakishe. Na ukitaka kubakisha nakimalizia. Simple.
 
Kwa jinsi hicho chakula kilivyoliwa,kubeba na kumpa mtu mwingine sio sawa.
Tunaweza kumlaumu dada aliebakisha lakinni hatujui taste ya hicho chakula. Ina maana humu hamna mtu aliewahi kuagiza chakula kikamshinda kwa ubaya wake?
To be honest mimi hio KFC siwezi kumaliza, sio kwamba nimeshiba ila hayo ma junky food yashanikinai na sasa hivi naangalia sana mafuta na vitu kama hivyo.
 
Me ninachojua wadada wa kileo wanakula sana! hayo mambo ya zamani labda.
 
Mimi vyakula vya Kfc, Marrybrown siviwezi kabisa!! Bora uende breakpoint kupata ugali na samaki
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Duu!
Unajua shombo kiongozi.
 
Huo upuuzi unaniumaga sana...mimi nikinunua msosi dem akishindwa kumaliza huwa nakimalizia mimi mwenyewe siwezi kuacha msosi wa hivyo na hela nimelipa..bora aagize maji ya kero tu kama hana njaa
Wewe jamaa kama mimi!!! Akizingua naukamua wote, Kama ataniona mshamba atajua mwenyewe!!!
Kama Nimeshiba nawaomba wahudumu wafunge nibebe na ole wake aniombe njiani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…