Wadada, Hii ni style gani?

ahahaaa sister ngu alikuwa anaipaka sana iyo .. ila kigae cha chungu kinanyoosha nywele vizuri kweli jamani
tena nimekumbuka, kwa sasa na kipilipili changu ngoja siku moja moja niwe natumia kigae.....
nina vyungu vyangu kadhaa pale home, nitavunja kimoja kwa ajili ya matumizi haya.....
karubu besti tukumbushie enzi...... usisahau na mafuta ya nazi
 
mi nimenyoa siku hizi.nilinyoa nilivofiwa sasa huyu mbaby wangu wa huku hautaki nisuke tena eti anasema napendezea kunyoa,sijui anaogopa mizinga ya saloon
 
mi nimenyoa siku hizi.nilinyoa nilivofiwa sasa huyu mbaby wangu wa huku hautaki nisuke tena eti anasema napendezea kunyoa,sijui anaogopa mizinga ya saloon
ndo maana nakuambia hutakuwa unaenda saluni....
saluni kuna jiko la mkaa au kuni?
mwambie itakuwa home made, lol!
 
ndo maana nakuambia hutakuwa unaenda saluni....
saluni kuna jiko la mkaa au kuni?
mwambie itakuwa home made, lol!
ahahaaa sinyoi tena kama vipi aniache.mi nishazoea kuachwa mbona suna hiyo?
 
Kuna mtu (mdada) kaniambia hiyo inaitwa Mirija style...je ni kweli?
 
Nimeambiwa hiyo style inatokana na utaalamu huu hapa pichani...then inatokea hiyo permanent curls.

Je, ni kweli wa dada?
 
ile ilikuwa noma besti.....
ila sasa ilikuwa inafanya nywele zinakuwa straight kupita zilizolambwa na mbwa.....
thanx God sikuwahi kutumia, maana chokaa ilikuwa expensive, sikuweza kuafodi......
mbadala ilikuwa kuchoma na kigae cha chungu, lol!

FP siku ile kwenye kumbukumbu ya Regina nilikuona umesuka MMASAI ahahahaha!
 
Mhhh. FP si useme tu? Tule tunanihii tunatumika kuseti nywele. Im glad im a soldier aisee. Ulimbwende kazi haswaa.

Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!

Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!

Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!
 
ulipokuwa unaoa mdada expensive ulitegemea nini?
sijawahi suka nywele ya laki, sivai wig wala hizo brazilian......
nikisuka nywele expensive sana ni 30,000 hapo kila kitu kwa msusi, mimi napeleka kichwa tu.
haya maisha ni kuyajulia tu. ukitaka kusuka yeboyebo salon bab kubwa unalipa laki, nini nasuka mtaani nzuri kuliko hizo za masalon makubwa nalipa 15,000. tukitokelezea huyo aliyesuka kwa laki ananiuliza mimi wa 15,000 nimesuka wapi
 
FP activator ya aina gani hyo nami nijaribu?
 
Last edited by a moderator:
FP activator ya aina gani hyo nami nijaribu?
hizi ambazo watu wa wave wanatumia. Ila nywele iwe natural.....
na unaweza ukaanza kwa steaming ya asali na olive oil (ile ya kupikia), then ukishaosha unafuta nywele na taulo tu then unapata hiyo activator
 
asante best..nna natural hair ya kubana kipafu..lol

ngoja niifanye hii style kesho. inaweza dumu kwa muda wa siku ngapi bila kuvurugika?

mambi ya dawa yamenishinda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…