Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

flood

Senior Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
131
Reaction score
202
Kweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako.

Haiwezekani tumekuwa marafiki then uniombe hela ya saloon nikikuambia sina unaniblock then baadae unajiona mjinga unaunblock. Hivi nikikutongoza na kufake love na uchumba fake utanilaumu ikiwa wewe ulitanguliza maslahi.

Mnatufanya tusiwahurumie kuwaambia ukweli kuwa tuna familia zetu sababu ya tamaa zenu za kijinga. TShs 20,000 ya salon si ya kuuza utu wako, mzuri ni mzuri tuu.
 
Kweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako. Haiwezekani tumekuwa marafiki then uniombe hela ya saloon nikikuambia sina unaniblock then baadae unajiona mjinga unaunblock. Hivi nikikutongoza na kufake love na uchumba fake utanilaumu ikiwa ww ulitanguliza maslahi.

Nashindwa nikuraumu au lah hasha,kama una mkeo ukitongoza ukiombwa 20,000 mnunulie mkeo na watoto wako matunda mpeleke wafurahie kama huna,tafuta wa kiwango chako hao wa 20,000 siyo saizi yako
 
Kweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako. Haiwezekani tumekuwa marafiki then uniombe hela ya saloon nikikuambia sina unaniblock then baadae unajiona mjinga unaunblock. Hivi nikikutongoza na kufake love na uchumba fake utanilaumu ikiwa ww ulitanguliza maslahi.
Mnatufanya tusiwahurumie kuwaambia ukweli kuwa tuna familia zetu sababu ya tamaa zenu za kijinga. TShs 20,000 ya salon si ya kuuza utu wako, mzuri ni mzuri tuu.
Wanawake bhana ni janga
 
Back
Top Bottom