Wadada haya si ndo mnayoyataka?

tatizo huwa linakuwaga kumaintain kumpa hayo mambo kwa mda mref, na kuna wale wachache ambao hta umpe dunia nzima bdo hataridhika 100%
 
tatizo huwa linakuwaga kumaintain kumpa hayo mambo kwa mda mref, na kuna wale wachache ambao hta umpe dunia nzima bdo hataridhika 100%

inategemea na aina ya mwanamke..wapo wanaorizika na hali watakayokuwa nayo, wapo wanaotaka kuwakomesha au kuchuana na mashosti kuwa babe na e ako nazo, wapo wengine kwa sababu babe anazo wacha nitumie kwa raha zangu ndo maana unakuta mtu anataka kila toleo la kariakoo avae asipitwe..kwenye shida anakukacha kama mwenge...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…