Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
-
- #81
Jaribu mtoto modo huyoooo...Unaweza ukamuambia akuvalie bkn siku ya game[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..........ngoja nijaribu bahati yangu![emoji30]
Mkuu kila nnaekutana nae ni kichomi tuuAngalia usije ukapata wa hivyo
Ni pasua kichwa hawa viumbe..Maombi yanahitajika mkuuMkuu kila nnaekutana nae ni kichomi tuu
Aongee na mie kitu gani?Mkuu una experience ya kutosha..Ongea na Honey faith vizuri. Mtaelewana😀😀😀😀
Hivi na wewe kweli utadiriki kufungua mdomo wako??[emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..........ngoja nijaribu bahati yangu mkuu![emoji30]
Ahsante bibie kwa kulitambua hiloWanaume poleni.
Mnavumilia mengi kwakweli.
Subiri atakuambia mwenyewe..Sitaki kumsemeaAongee na mie kitu gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!...........Acha hizo,shem wangu mpendwa njoo tuzime taa mwaya!Hivi na wewe kweli utadiriki kufungua mdomo wako??[emoji15]
Mkuu ongeza bidiii..Hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]!...........Acha hizo,shem wangu mpendwa njoo tuzime taa mwaya!
Kwenda zako huko umeishaniboa[emoji34][emoji23] [emoji23] [emoji23]!...........Acha hizo,shem wangu mpendwa njoo tuzime taa mwaya!
Wewe mshamba kweli!!.......wewe ni mwanamke wa Dar kweli???........Mimi huwa naambiwa eti huko Dar huwa hainaga ushemeji,eti shem ni kweli?Kwenda zako huko umeishaniboa[emoji34]
Ukizipata watakukoma au sio mdauNgoja nitafute ela kwanza....mbaaaaaafu!!!
Mkuu punguza mzuka..Mtoto anahitaji maneno matamu huyo..Ukizingua utamkosaWewe mshamba kweli!!.......wewe ni mwanamke wa Dar kweli???........Mimi huwa naambiwa eti huko Dar huwa hainaga ushemeji,eti shem ni kweli?
ni nani huyu mkuu?Daah!!....ila ana shepu nzuri jamani![emoji39]
Hapana mkuu...mimi ni mwanaume nnaueamini katika uhusiano na mwanamke mmoja!! Nikipata ela nitajenga kiwanda cha nguo za kuwasitiri....hii picha inaonyesha demand ni kubwa na supply ni ndogo!!Ukizipata watakukoma au sio mdau
Ukitaka kula kila kitu utakula mpaka sumu ufe.Huyo sio wakuachwa. ...yaani unamla mgongo kama humjui vile
Ilikuaje mdau..Tupe mkandaKuna mmoja nilikuwa nae Leo kwenye dala dala aseee ni aibu. Nikasema kimoyo moyo shetani katika ubora wake