Wadada basi hata aibu hakuna??

thank you mr handsome, message delivered
 
So uhandsome wako umeutambua ukiwa abroad?

Niko nje ya mada lakini nisidie kama unaweza,

Kama huko uliko website ya secretariat inafunguka nisaidie kunitumia file jipya linaloita watu kwenye interview tareh 5 na 6 November 2012, pia lile linaloita watu kazini kwa usaili uliofanyika september 2012. huku kwetu(Arusha) website yao haifunguki. inaandika hivi "This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources." Tafadhali sana nasubiria maana nimeona hayo kwa kupitia simu, lakini simu hauwezi kufungua pdf files

Ikiwezekana weka kwenye forum ya kazi ili wafaidike wengi
 
Umejitahidi sana kufaulu huo mtihani wa kwanza, lakini jiandae mengine zaidi inakuja, kwani hawa jamaa wakiwa serious
basi next time hupindui, wako very strategic!!
Take care and take it easy!!
 
wewe kijana ebu tulizana ...married guys ndio mademu wanapenda bwana sasa hao wala usipate tabu nao wee waambie hivi mie mwenzenu ili niweze msaliti mke wangu ni kama demu atakuwa tayari kunipa tigo maana mke wangu ananibnia. ebu jaribu tuone kma watakupa
 
mh! acha uzushi, mwanaume hajisifii kutakwa. mtu mwenyewe hujui kutofautisha 'L' na 'R'. tafadhari....
umesikia raha mwenyewe...em fanyakazi
 
Kwani uganda sio abroad! Ama vile kaenda na basi? Mbona kuna mtu aliomba ushauri hapa wa kukwea pipa to nairobi? Muache mwenzio bana ana passport huyo, hata kama ya kikaratasi
abroad wapi unaweza ukakuta ni uganda tu hapo nin
 
Kwani uganda sio abroad! Ama vile kaenda na basi? Mbona kuna mtu aliomba ushauri hapa wa kukwea pipa to nairobi? Muache mwenzio bana ana passport huyo, hata kama ya kikaratasi
uganda sio abroad na wewe bhana khaaaa....kuvuka mabahari na bara ndo abroad ndugu...alaaaaaaah
 
Akhhhu! Mwenzio mie hata nikienda malawi nasindikizwa kituo cha basi na ukoo mzima na naulizwa kama nimekumbuka yellow card na passport. Ni abroa sema sio ulaya. Ukivuka bahari tu inakuwa ulaya hata kama ni india.:bowl:
uganda sio abroad na wewe bhana khaaaa....kuvuka mabahari na bara ndo abroad ndugu...alaaaaaaah
 

Wewe ndo umepotea njia...
Tena hapo si ndo atapewa bila kinyongo?
Unadhani angesema hivyo ndo angewakimbiza??
 
Kula mizigo hiyo hendsamu boi
 
U-bwa-bwa type,lazima upakuliwe uliwe
 
Sijaona kipya hapa . . . . . . . !!
 

Hivi hujiulizi kwa nini wanakuafuata wakati walikuwepo kwenye harusi yako? Hao wametumwa na mkeo kukujaribu kama we ni mwaminifu na wala hawajirahisishi; halafu unaonyesha uta-nasa tu kwenye mtego huo-grow up boy!
 
So uhandsome wako umeutambua ukiwa abroad?

pengine aliamini yeye handsome baada ya kusifiwa na wazungu. waswahili wenzake walipomsifia hakuelewa. ukoloni wa utamaduni huu alionao mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…