kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,847
- 10,115
Kwa jamii ya kitanzania walio wengi (including me) kuna vitu ambavyo mwanamke akionekana kavaa ni ishara kuwa ni muhuni na malaya japo wengine wanaona ni urembo.
Vitu hivi ni kama:
Hereni za puani
Kutoga nankuvaa hereni karibia nne kwa sikio moja
Vikuku vya miguun
Mapete kwenye vidole vya miguu
Wengine wanatoga hadi pauchi na kuivalisha heleni
Mashanga ya kiunoni (wengine wanaweka ya kuzidi hadi kiuno kuelemewa)
Kutoga ndimi
Kuvaa pete vidole karibia vyote vya mikono nk.
Japo wengine wataona ni urembo ila ukweli ni kwamba kwa jamii za kitanzania zilizo nyingi huu unaonekana ni uhuni na wadada wengi ukivaa hivi unaonekana malaya.
Sababu ya pili ya hili ni kwamba ukienda sehemu zenye malaya wengi kama migodini, ziwani/mialoni nk. ndo utakuta wadada wengi walovaa hivi wanapiga busness kwa kutumia miili yao
Hivyo wadada achaneni na utamaduni usio wenu. Kama ni hereni toga tundu moja sikoni na vaa hereni moja per sikio, kama ni shanga vaa kwa kiasi tena pale unapokuwa na mwenza wako kama anapenda.
Vingine hivyo vya miguuni, kutoga papuchi, pete vidoleni vya miguu nk achana navyo