Wadada acheni kututesa

Wadada acheni kututesa

Joined
Jun 15, 2017
Posts
46
Reaction score
40
Wanajamvi wazima humu,

Kuna dada mmoja tunaishi naye karibu. Nimetokea kumpenda. Yeye anaishi na dada yake. Nilishamtokea Mara kadhaa na aliniambia yuko single. Ila nikimwingizia mistari anaonyesha kama ananielewa lakini hataki kunikubalia. Sasa niliamua tutoke out Jumapili weekend akakubali.

Ila ilivyokaribia Jumapili akapata dharura akasafiri kidogo na Dada yake kwenda kijijini kwao. Ikashindikana. Sasa alivyorudi nikamtafuta tuongee kidogo. Kuongea kidogo nikamkumbusha kutoka out kidogo akasema alikuwa na dharura halafu akaongea kitu cha ajabu. Alisema "hivi ulikuwa serious" Mimi nilijua hauko serious. Nikashangaa. Ila bado naendelea na juhudi.

Wanawake acheni kututesa jamani.
 
kuna kawimbo ka afande natamani nikuwekee hapa dah!
 
Mkuu, kaza bhna mbona unaniaibisha kidume mwenzio... huyo dada mpaka sasa ingebidi unakujakutusimulia utamu wake....
 
Wanajamvi wazima humu,

Kuna dada mmoja tunaishi naye karibu. Nimetokea kumpenda. Yeye anaishi na dada yake. Nilishamtokea Mara kadhaa na aliniambia yuko single. Ila nikimwingizia mistari anaonyesha kama ananielewa lakini hataki kunikubalia. Sasa niliamua tutoke out Jumapili weekend akakubali.

Ila ilivyokaribia Jumapili akapata dharura akasafiri kidogo na Dada yake kwenda kijijini kwao. Ikashindikana. Sasa alivyorudi nikamtafuta tuongee kidogo. Kuongea kidogo nikamkumbusha kutoka out kidogo akasema alikuwa na dharura halafu akaongea kitu cha ajabu. Alisema "hivi ulikuwa serious" Mimi nilijua hauko serious. Nikashangaa. Ila bado naendelea na juhudi.

Wanawake acheni kututesa jamani.
hahahahaaaa mkuu umezoea mbeya beans bila shaka
 
Na wewe acha kuteswa na wanawake kijinga unateswaje sasa mwanaume ulie kamili!!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamani hivi sasa vituko hapo umeteswa wapi jamani
 
Back
Top Bottom