Hubby material
Member
- Jun 15, 2017
- 46
- 40
- Thread starter
- #21
Kwa nini dear.
yumo humuWanajamvi wazima humu,
Kuna dada mmoja tunaishi naye karibu. Nimetokea kumpenda. Yeye anaishi na dada yake. Nilishamtokea Mara kadhaa na aliniambia yuko single. Ila nikimwingizia mistari anaonyesha kama ananielewa lakini hataki kunikubalia. Sasa niliamua tutoke out Jumapili weekend akakubali.
Ila ilivyokaribia Jumapili akapata dharura akasafiri kidogo na Dada yake kwenda kijijini kwao. Ikashindikana. Sasa alivyorudi nikamtafuta tuongee kidogo. Kuongea kidogo nikamkumbusha kutoka out kidogo akasema alikuwa na dharura halafu akaongea kitu cha ajabu. Alisema "hivi ulikuwa serious" Mimi nilijua hauko serious. Nikashangaa. Ila bado naendelea na juhudi.
Wanawake acheni kututesa jamani.