Ni hali ngumu ya uchumi?
Ni kwenda na wakati?
Ni kuporomoka kwa maadili?
Ni biashara? Au ndio kutafuta kuolewa?
Niko kwenye sherehe ya send off Urafiki Social Hall. Sio kama ni mgeni wa sherehe za namna hii, lakini naona imezidi. Wadada wengi, wasichana kwa wadada wametoka na viwalo vya kutia aibu, kwa kweli nimefadhaika sana na nimepata picha kwa nini nyakati hizi zimekuwa zama za ngono huria na holela!
Wadada, kama kweli mnawaza kuolewa, kwa staili hizi basi sahauni kuwa na ndoa za kudumu.