- Thread starter
- #21
PL yaani wadada walinikosesha uhuru kabisa. Niliketi meza ya mbele kabisa pamoja na wazazi; Mc akialika watu waje mbele kucheza ilikuwa kivumbi, vivazi wakivyojivika na ushezaji wa kiwenda wazimu! Nilikuwa siwezi kuendekea kuketi na wazazi na kuwaona wakishuhudia wazimu wa watoto wao, wakija mbele kucheza mimi nilikuwa nasepa kiaina, nahamia meza nyingine.ndio wadada wa dot com hao
akienda kwny shughuli mwili
wote nje,mi hua sielew y?
labda mie mshamba hah!!