Rylee
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 547
- 1,024
Hahahaa...nimecheka kweliiLazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
Hahahaa...nimecheka kweliiLazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
Tena baby nioe ni afadhali kuliko kuomba hela.Kuomba hela sio mbaya saaana
Ila baby nioe?aibu asee
Lafu ukichunguza wanaume ndio wanakufa sana maaana kwa haraka wajan ninao wajua mimi kam14
Why stress auwanaume tunaongoza kutangulia
Why stress au
Kweli bora ujue mapema ili kama ni mpigaji tuu ujisepee kwa mwingine mapemaaaaNa nyie muache kuwapa wachumba zenu majukumu ya ndoa!!!! Mara kufua kupika sheria kibao,,,akati huna mpango nakua naforce nisiendelee kuwa mtumwa wako mwisho wa Siku unabwaga...ahhhhh kwanini nisijue hilo ili nijiongeze mapema???? Unaishi na dada wa watu miaka 4 huoi, miaka 30 ndiiii inagonga ukiwa naee duh mwisho wa SKU unamwacha mnaanza kuwasema mbona hawaolewiiii....lazima kuuliza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema nachoona rahisi kwa upande wanguTena baby nioe ni afadhali kuliko kuomba hela.
Hate me at your own risk
sanaaa joanah, heri tunaonyamaza wanasema wenyewe bila kuambiwa.Kuomba hela sio mbaya saaana
Ila baby nioe?aibu asee
Kwanza ndio inavyotakiwa japo hata mwanamke anaweza kuanza ila 'inanoga' zaidi akianza yeyesanaaa joanah, heri tunaonyamaza wanasema wenyewe bila kuambiwa.
teh teh
nilihisi umeenda cjui wapi ambapo hakuna JF mweeeeKwanza ndio inavyotakiwa japo hata mwanamke anaweza kuanza ila 'inanoga' zaidi akianza yeye
Alafu nimekumiss ujue
Lazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
HahahahahaHalafu njemba inataka papuchi utadhani inameza dawa, mara tatu kwa siku ukiondoa zile siku za nanihii. Zile siku za nanihii njemba inaulizia baby unamaliza lini? maana huu ugwadu hata akili imegoma kabisa baby.
Acheni kuchakaza mabinti wa watu, lazima aulize ni haki yake kuulizaUnakuta umeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana na mahusiano yenu hayana hata miezi miwili lakini kutwa kucha msichana anaulizia masuala ya ndoa. Mnatakiwa mtambue kwamba ndoa si jambo la mzaha na kukurupuka, ndoa inahitaji wawili kujuana kwanza kitabia.
Hii tabia ya kuulizana "ooh baby lini unakuja kuleta barua ya posa nyumbani" bwana weeeee mbona una haraka hivyo, mambo ya ndoa hayahitaji papara.
Kama una tabia nzuri huna sababu ya kulazimisha mambo ya ndoa, ukiona binti analazimisha masuala ya ndoa jua kuna tatizo ndani yake hivyo hafai kuwa wife material. Kama nina nia ya kukuoa nitakuoa na kama sina nia hata ufanyeje hauwezi kunibadirisha mawazo yangu labda uniendee kwa sangoma.
Kingine tabia ya kuombaomba pesa kila mara mpunguze otherwise mtaishia kukimbiwa kila siku. Kupata mpenzi haimaanishi umepata ajira au kitega uchumi kwamba matatizo yako yote umalizie kwake.
Tunatambua kwamba mnamahitaji yenu kama wanawake na tunapaswa kuwatimizia ila mpunguze tamaa kwamba kila unachomuona nacho swahiba wako basi na wewe lazima uwe nacho hapana hatuwezi fika kwa staili hiyo.
Binafsi huwa napenda nimuhudumie msichana pasipo yeye kuniomba sababu najua ni jukumu langu kumpendezesha na kumtimizia mahitaji yake.
Yangu ni hayo tu