namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
hahahah.... shkamooLazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
hahahah.... shkamooLazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
Hahahahaha
Hapana chezea utamu wa bute
Kutwa mara 5
Hao ni wajinga wengine hatugegedeki ndio maana sijawahi kuumizwaWengine ukimtokea tu eti anauliza "utanioa au unataka kunichezea' mimi huwa nawajibu nitakuoa nikisha gegeda nasepa
Ndio vizuri waachie na wenzio nafasi wapate rahaaa sio kuweka likivuli kauzibe lako kumbe huna mpangonlipoanza kumdate uyu dem baada ya miezi 3 ananiuliza unaoa Lini nikamwamba nikiwa tayari kuoa tu naoa nijue kwanza, ikaanza kuwa kama chorus kila tukikutana, ..? asee nlitoka nduki mpaka leo haamini
ndo changamoto ya mapenz ya siku izi, huwa mnadhani mkiolewa ndo basi tena mnasahau kuna maisha baada ya ndoa.Ndio vizuri waachie na wenzio nafasi wapate rahaaa sio kuweka likivuli kauzibe lako kumbe huna mpango
HahahahahahaaaaaaaaaaaaLazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
Tafadhali Kama Huna Mpango Wa Kumuoa Ukimzalisha Usumbufu Wake Ni Wa Kiwango Cha Standard Gauge, Kama Hujawahi Kulogwa Mzalishe Halafu Oa Mwingine Kwa Matarumbeta,kigodoro, Ukumbini Aaaahme kuna mmoja daily ananiambia eti nimzalishe tu then atalea mwenyewe...sasa sijui ndo strategy ya kuniingiza kingi hiyo ili nimuoe au vipi..
Waambie hao..Na nyie muache kuwapa wachumba zenu majukumu ya ndoa!!!! Mara kufua kupika sheria kibao,,,akati huna mpango nakua naforce nisiendelee kuwa mtumwa wako mwisho wa Siku unabwaga...ahhhhh kwanini nisijue hilo ili nijiongeze mapema???? Unaishi na dada wa watu miaka 4 huoi, miaka 30 ndiiii inagonga ukiwa naee duh mwisho wa SKU unamwacha mnaanza kuwasema mbona hawaolewiiii....lazima kuuliza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu anakugeuza kitega uchumi cha ukoo wake mzima bado una majukumu ya nyumban kwako, family, bado kazini wengi wanakufa na stresswanaume tunaongoza kutangulia
Una akili kama jelly[emoji12]Lazima aulize
Wengine usipowauliza mtakaa miaka 8 utadhani mnasomea udaktari
Liamshe Nipo hapa pia kuliamsha dudesijui nilianzishe dude