Wadada acheni hii tabia ya kuuliza 'ndoa lini'

Wadada acheni hii tabia ya kuuliza 'ndoa lini'

Hivi nyinyi wakaka,hamjui kwamba kuzini dhambi? Eti mfunge ndoa mkishazaa watoto na watoto wakawa wakubwa Ili iweje,ni aibu kwanza eti baba na mama wamekaa miaka yote hiyo hawajaoana Ndio wanaoana uzeeni mwao!!! Nuksi na mikosi mingine kwa sababu ya uzinzi,oeni mpate Baraka za mke halali mlieidhinisha mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom